Natafuta Kazi ya Udereva

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Dereva mwenye class B na D anapatikana hapa Dar 0717 302 371.

Anaitwa Benson

Yeyote anayemuhitaji anakaribishwa sana.
Contact ni hiyo hapo juu.
 
Pia wapo ma Dereva wenye uzoefu wa maloli makubwa wawili wenye uzoefu na njia Za Zambia Kongo na Burundi pia Rwanda.....kwa mawasiliano 0798-077166 au 0683-011022
 
Mimi mwenyewe natafuta kazi nina class C na cheti cha VETA pamoja na NIT kwa yeyote anaeweza kunisaidia nipo tayari,
 
Mimi mwenyewe natafuta kazi nina class C na cheti cha VETA pamoja na NIT kwa yeyote anaeweza kunisaidia nipo tayari,

Ulikuwa wapi anzisha uzi wako kabla ya huyu jamaa kuanzisha?achen roho mbaya nyie
 
Pia wapo ma Dereva wenye uzoefu wa maloli makubwa wawili wenye uzoefu na njia Za Zambia Kongo na Burundi pia Rwanda.....kwa mawasiliano 0798-077166 au 0683-011022

Ulikuwa wapi anzisha uzi wako mkuuuu,achen roho mbaya waTz
 
UDOM wanahitaji madereva, dedline 24Feb, kama vipi apply
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…