Mkuu udereva?mabaamedi wanawezwa tafutwa kwa ajili ya kazi ila c madereva.tembelea dar,moro.iringa na mikoa mingine.madereva wamejaa kwenye vijiwe na mageti ya wenye makampuni ya usafirishaji.mi binafsi naona bora kulima.vp mashamba huko hamna?tulime tu
Mkuu udereva?mabaamedi
wanawezwa tafutwa kwa ajili ya kazi ila c madereva.tembelea
dar,moro.iringa na mikoa mingine.madereva wamejaa kwenye vijiwe na
mageti ya wenye makampuni ya usafirishaji.mi binafsi naona bora
kulima.vp mashamba huko hamna?tulime tu
Haya,kazi dar zipo nyingi xna,waarabu wananunua magari kila leo.ila ndio kuna waswahili humu wanajiita wakubwa wa kazi,hao ndio wameshikilia ajira mikononi mwao.sa mpaka wakupe ndugu utaona bora ukatembeze maji mtaani