Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ninaishi arusha proffessional yangu ni dereva nina lesen class c c nimeendesha gari arusha kwa miaka mitano kampuni ninayofanya hakuna maelewano kati yangu na wafanyakazi wenzangu pia haina root za kutoka safari ya mbali mimi nimekomaa na ninaweza kwenda mbali naomba mnisaidie jamani nipo kutafuta maisha