Wakati unaendelea kutafuta kazi rasmi hizo zenye mishahara nikupe wazo moja tu linaweza kukusaidia. Jaribu kutengeneza uhusiano na jamaa wa daladala iwe coaster au hiace uwe unapiga wakati unaendelea kufanya applications zako. Mimi ni graduate wa 5yrs ago niko kwenye hii kitu ya ubobdere wa daladala si haba maisha yanasonga.
Habarini natafuta kazi ya udereva nina cheti cha kidato cha 4 na nimesoma N I T nina uzoefu wakutosha , nina lesen class C na nauzoefu wa kuendesha UBER , SCHOOL BUS na magari ya ofini number yangu ni 0653702574 /0684856702 naombeni mnisaidie, hari nimbaya.