Paulo J Mwamtekele
New Member
- Jan 21, 2020
- 3
- 2
Anazingua...anadhan jf ni mteremko tu...kwamba unaandika ma-essay yako mengi...as much unaandika essay ndefu ndo kazi unapata fasta.
Yeye anapost sura lake. Badala hata ashukuruKuna tangazo LA kazi hapo nafasi 10 za udereva nimemwekea na wala hastuki ...wala haulizi...
Soko la ajira limebadilika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
NAHISI ANAKURUPUKA..watu wanashindwa hata kusoma mchezo,ukiwa mgeni eneo wanasema usiwe much know sana.Anazingua...anadhan jf ni mteremko tu...kwamba unaandika ma-essay yako mengi...as much unaandika essay ndefu ndo kazi unapata fasta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kulikuwa hakuna haja ya kuweka picha yakoNaitwa PAUL JAMES MWAMTEKE
Natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa (maroli) nimesomea mafunzo yaudereva katika chuo cha usafirishaji cha taifa NIT. Ninauzoefu wa miaka 10. Pia ninauzoefu wakuendesha magari aina zote yaani Magari makubwa na madogo.Leseni yangu inamadaraja kama ituatavyo.A.B.C.C1.C2.C3.D.E.F.G.
Nawaomba watanzania wengangu popote pale walipo kama kuna mtu anajua kua kunasehemu wanahitaji madereva basi anisaidie kunielekeza ili niende kuwwza kuomba nafasi hiyo.0689517393/0747474369/0653405923View attachment 1389229View attachment 1389231
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kampuni inaitwa Dolphin ipo mwanza,cheki hiyo,vilevile kuna haya makampuni yanayohudumia minara ya simu,Natafuta nafasi ya udereva ndugu zangu ninauzoefu wa miaka kumi na mbili(12) katika kazi hii leseni yangu ina madaraja A.B.C.C1C2.C3.E.F.G. Nimesomae mafunzo ya udereva katika chuo cha taifa cha NIT. Naombeni msaada kama kunamtu anakampuni au kama kuna mtu anajua kama kunasehemu kuna hitajika madereva.0689517393.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kampuni inaitwa Dolphin ipo mwanza,cheki hiyo,vilevile kuna haya makampuni yanayohudumia minara ya simu,
Pivotech,Newl,Camusat(mbeya),cheki na huko.
Ila usipende kuweka vivuri vya dokomenti zako mtandaoni,maelezo kidogo yanatosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Mkuu una madaraja ya leseni mengi balaa.Natafuta nafasi ya udereva ndugu zangu ninauzoefu wa miaka kumi na mbili(12) katika kazi hii leseni yangu ina madaraja A.B.C.C1C2.C3.E.F.G. Nimesomae mafunzo ya udereva katika chuo cha taifa cha NIT. Naombeni msaada kama kunamtu anakampuni au kama kuna mtu anajua kama kunasehemu kuna hitajika madereva.0689517393.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Mkuu una madaraja ya leseni mengi balaa.
Hapo TRA unawaachia laki saba kila uki "renew" leseni yako.
All the best mkuu.