rashidymdoe Member Joined May 16, 2017 Posts 79 Reaction score 45 Dec 14, 2019 #1 Naombeni msaada, Natafuta kazi ya udereva nina vyeti udereva na driving licence. Nina uzoefu zaidi ya miaka 7 sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni msaada, Natafuta kazi ya udereva nina vyeti udereva na driving licence. Nina uzoefu zaidi ya miaka 7 sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,704 Reaction score 22,583 Dec 14, 2019 #2 rashidymdoe said: natafutakazi yaudereva nina vyeti uderena driving licence nina uzoefu zaid ya miaka 7 Click to expand... Ungeongeza hizi taarifa - Upo mkoa gani? - Driving licence yako ni madaraja yapi? na - Ni aina gani ya magari unamudu kuyaendesha - mfano: Je ni mabasi makubwa ya abiria? au ni hizi gari za kawaida zisizo za abiria?
rashidymdoe said: natafutakazi yaudereva nina vyeti uderena driving licence nina uzoefu zaid ya miaka 7 Click to expand... Ungeongeza hizi taarifa - Upo mkoa gani? - Driving licence yako ni madaraja yapi? na - Ni aina gani ya magari unamudu kuyaendesha - mfano: Je ni mabasi makubwa ya abiria? au ni hizi gari za kawaida zisizo za abiria?