Natafuta kazi ya udereva

Ohooo. Sawa boss.

Unatakiwa kufungua account ajira.go.tz

Kisha utajaza details zako pamoja na nakala za vyeti vyako. Na passport sized pic

Kisha kazi zikitoka ww ni kuaply na kusubiri kuitwa.

Tafuta iyo leseni kwanza
 
kwa kutumia hii niliyokuwa nayo ClassE siwez fanya ivyo? maana cheti kinaruhusu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…