F frankbosco Member Joined Feb 1, 2018 Posts 12 Reaction score 1 Feb 9, 2018 #1 Natafuta kazi ya udereva Kwa jina naitwa frank bosco Nina miaka 24 Naishi DSM kimara Leseni yangu daraja (D) Nauzoefu wa miaka (2½) Naendesha manual na auto Kwa mahitaji tunaweza wasiliana Kwa no.0785010732 [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Natafuta kazi ya udereva Kwa jina naitwa frank bosco Nina miaka 24 Naishi DSM kimara Leseni yangu daraja (D) Nauzoefu wa miaka (2½) Naendesha manual na auto Kwa mahitaji tunaweza wasiliana Kwa no.0785010732 [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mathias Raymond Nyakapala JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,181 Reaction score 1,494 Feb 9, 2018 #2 frankbosco said: Kwa jina naitwa frank ni kijana mwenye miaka 24 naishi DSM nimekuja kwenu kuomba ajira ya udereva kwa atakae itaji. Tuwasiriane Click to expand... Mbona hujasema udereva wa gari aina gani na una uzoefu gani na leseni yako daraja gani?
frankbosco said: Kwa jina naitwa frank ni kijana mwenye miaka 24 naishi DSM nimekuja kwenu kuomba ajira ya udereva kwa atakae itaji. Tuwasiriane Click to expand... Mbona hujasema udereva wa gari aina gani na una uzoefu gani na leseni yako daraja gani?
F frankbosco Member Joined Feb 1, 2018 Posts 12 Reaction score 1 Feb 9, 2018 Thread starter #3 Mathias Raymond Nyakapala said: Mbona hujasema udereva wa gari aina gani na una uzoefu gani na leseni yako daraja gani? Click to expand... Reseni daraja D Uzoefu miaka 2½ Gari za famiria na biashara Naendesha manual na auto Kwa mahitaji tunaweza kuwasiriana
Mathias Raymond Nyakapala said: Mbona hujasema udereva wa gari aina gani na una uzoefu gani na leseni yako daraja gani? Click to expand... Reseni daraja D Uzoefu miaka 2½ Gari za famiria na biashara Naendesha manual na auto Kwa mahitaji tunaweza kuwasiriana
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 7,821 Reaction score 20,822 Feb 9, 2018 #4 editi post yako , weka cv yako vizuri. zingatia matumizi sahihi ya 'R' na 'L'. kila la kheri
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,962 Feb 10, 2018 #5 Huwa najiulizaga sana hivi kwa nini kwenye matangazo ya kazi huwa wanaorodhesha kipengele cha kutaka mtu aongee kingereza na kiswahili fasaha...? Sasa ndio naanza kuelewa aseee. Dah. HAYA.
Huwa najiulizaga sana hivi kwa nini kwenye matangazo ya kazi huwa wanaorodhesha kipengele cha kutaka mtu aongee kingereza na kiswahili fasaha...? Sasa ndio naanza kuelewa aseee. Dah. HAYA.
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,057 Reaction score 15,527 Feb 10, 2018 #6 Jitàhidi usome Advanced driving. Hiyo basic driving haitakusaidia