Usikariri aiseee hyo C yenu kavu huyu anaenda NIT pale analipa laki 2 wanampa ndan ya wik 2 anapga kaz mimi niko kwnye lori lakin hzo basi nimepga nikaona hazina maslahi
Mwambie aende chap chap akaitafute ni ya muhimu mno kwa dereva.Dereva usipokuwa na hiyo unahesabika kama dereva wa kuendesha magari ya kutoka chumbani kuelekea sebuleni na kupaki kwenye geti
Tunaendesha haya magari mwaka wa 8 na tuna class E tu ndo mana nakuambia usikariri afu udere wako huu wa kuishia chalinze ndo tatzo sisi tumefanya kaz nchi za kusin mwa africa hzo na class E na kuna road dume na road za kufa mtu mikeka highway za kufa mtu na bado hatuna hyo C yenu ya mpinga acha kukariri...!!
Leseni ya CLass E huruhusiwi kabisa kuendesha gari za abiria.Uendeshaji wa magari ya abiria ni tofauti na malori yako ya kubeba ng`ombe au makontainer.Ukibeba ng`ombe au kontaina breki wawezxa kanyaga vyovyote utakavyo.Sababu ng`ombe au kontaina haliumwi presha wala nini ukikanyaga breki ghafla ukiwa mwendo mkali.Bus la abiria ukikanyaga breki hovyo mtu presha ikampanda waweza swekwa rumande .Ndio maana dereva mbeba watu anatakiwa awe na class C kuaminiwa.Hayo malori ya mchanga waweza endeshea hata leseni CLASS F hewa ukitaka.Hiyo class E yako huwezi jiita dereva proffesional kwa leseni kama hiyo.[/
Gar ni gar tu hzo basi za abiria hao wnaaoendesha wote wametoka kwnye lori pale ubungo wale masuka wote wametoka huku ndo mana nakuambia nimeendesha gar nchi zote za SADC/COMESA nimeendesha kila aina ya gari kasoro Sport car Huaniambii kitu nina Leseni ya Kitanzania hyo ya Class E sasa unadhan hzo lori za ngombe au mchanga unarudi kati kiboya haya mambo lazma ukae class kwanza usome mechanism ya gari na engine na system nzima ya gar ndo upewe shida udere wenu wa Kitanzania unapakatwa na mjomba ndo mmejifunza.
Tunaendesha haya magari mwaka wa 8 na tuna class E tu
Katafute kazi na hiyo Class E yako ya kuendesha basi la abiria uone nani atakupa kazi HATA UMWAMBIE UNA uzoefu wa miaka 100 ya udereva.Au force ENDESHA basi ya abiria halafu traffic akikudaka mwonyeshe hiyo Leseni yako ya CLASS E uone mwoto utakaokuwakia.
Katafute kazi na hiyo Class E yako ya kuendesha basi la abiria uone nani atakupa kazi HATA UMWAMBIE UNA uzoefu wa miaka 100 ya udereva.Au force ENDESHA basi ya abiria halafu traffic akikudaka mwonyeshe hiyo Leseni yako ya CLASS E uone mwoto utakaokuwakia.
Unaonekana we n mkata ticket ubungo pale mana ndo type zenu et dere proffessional kwan hawa wanaoendesha haya magari mengine mbona wanaenda na wanarudi na maisha yanaenda hayo mabasi et posho elf 20 sijui 40 kwa siku hyo kazi au utumwa presha juu kwa bosi traffic na kero kibao ...
Tatizo mtu analaimu ajui matumizi ya reseni saaa ata kama unamwambia saqa na kumpiga konzi kinyago anatakiwa aangalie natumizi ya reseniUsikariri aiseee hyo C yenu kavu huyu anaenda NIT pale analipa laki 2 wanampa ndan ya wik 2 anapga kaz mimi niko kwnye lori lakin hzo basi nimepga nikaona hazina maslahi
Sizani kama tunaerewana humuWewe ni akina SIZITAKI MBICHI HIZI
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia
Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.
Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.
Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.
Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho wake akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.
“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.
Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.
Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi
Tatizo mtu analaimu ajui matumizi ya reseni saaa ata kama unamwambia saqa na kumpiga konzi kinyago anatakiwa aangalie natumizi ya reseni
kiongizi si C kavu pekee ndio yakuendeshea gari za abiria,Mwambie aende chap chap akaitafute ni ya muhimu mno kwa dereva.Dereva usipokuwa na hiyo unahesabika kama dereva wa kuendesha magari ya kutoka chumbani kuelekea sebuleni na kupaki kwenye mageti
Hizo hawezi endesha mabasi ya abiria.Lazima atafute C PLAIN