Natafuta kazi ya udereva

suresh91

Member
Jun 23, 2015
18
6
Habari zenu wanandugu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 natafuta kazi ya udereva iwe kumwendesha mtu, shule au kampuni naendesha magari yote kasoro dala dala kulingana na leseni yangu.
Elimu yngu ni ya kidato cha 4 nina uzoefu wa miaka 2 na nmeptia ktk chuo cha ufundi na mafunzo ustadi yaani VETA.... Namba yngu 0717557509
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom