rama ngosso
Member
- Oct 11, 2016
- 6
- 0
wana kuja mkuuu subili kidogoMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es salam nimejitokeza kwenu kutafuta kazi ya udereva wa magari kwa mwenye nayo naomba anijulishe hata gari la mtu binafsi nitaendesha au kwenye kampuni pia.
Nina leseni halali na elimu yangu kidato cha nne nina uzoefu wa miaka mitatu nikiwa barabarani
Naomba kwa mwenye nafasi ya kazi anijulishe mawasiliano yangu 0653072455 napatikana Dar es salamView attachment 416682
Naona wapo kmy yan
Naona wapo kmy yan
Muhas wanataka driver lakini vigezo vyao kabambe, deadline tareh 17 mkuu. Cheza kama Pele
Ngoja zikitokea chance ntakustua kuna kampun ya logistics huku Kurasin
Ipo nje ya uwezo mkuu, niliona tuu newsMkuu, fanya chenga za Pele umsaidie kumlink huyo mdau. Mfanyie wepesi kama inshu ipo ndani ya uwezo wako.
-Kaveli-