Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

rama ngosso

Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
6
Reaction score
0
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es salam nimejitokeza kwenu kutafuta kazi ya udereva wa magari kwa mwenye nayo naomba anijulishe hata gari la mtu binafsi nitaendesha au kwenye kampuni pia.
Nina leseni halali na elimu yangu kidato cha nne nina uzoefu wa miaka mitatu nikiwa barabarani
Naomba kwa mwenye nafasi ya kazi anijulishe mawasiliano yangu 0653072455 napatikana Dar es salam
1476264098206.jpg
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es salam nimejitokeza kwenu kutafuta kazi ya udereva wa magari kwa mwenye nayo naomba anijulishe hata gari la mtu binafsi nitaendesha au kwenye kampuni pia.
Nina leseni halali na elimu yangu kidato cha nne nina uzoefu wa miaka mitatu nikiwa barabarani
Naomba kwa mwenye nafasi ya kazi anijulishe mawasiliano yangu 0653072455 napatikana Dar es salamView attachment 416682
wana kuja mkuuu subili kidogo
 
Muhas wanataka driver lakini vigezo vyao kabambe, deadline tareh 17 mkuu. Cheza kama Pele
 
Daah aisee km nafasi zikitokea naomba xna ndugu zangu nina lesen class E.ahsante.
 
Mkuu, fanya chenga za Pele umsaidie kumlink huyo mdau. Mfanyie wepesi kama inshu ipo ndani ya uwezo wako.

-Kaveli-
Ipo nje ya uwezo mkuu, niliona tuu news
 
Back
Top Bottom