Mimi ni kijana umri miaka 25 elimu yangu kidato cha nne natafuta kazi ya udereva magari madogo au kumuendesha mtu .
Nina leseni halali ambapo nina uzoefu barabarani kwa miaka mitatu nimejitokeza kwenu kuomba kazi naombeni kwa mtu yeyote anaehitaji dereva mawasiliano yangu 0653072455