Natafuta kazi ya udereva wa mabasi

Eng Kahigwa

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
783
628
Habari zenu wanajf, mimi ni kijana ambaye ninatafuta kazi ya udereva wa mabasi yoyote yawe ni daladala na mengineyo. Nina ujuzi mzuri wa kuendesha mabasi, na nilipata mafunzo ya udereva huko VETA na leseni yangu ya uhalali ni ya grade C1.
Kwa mawasiliano, namba yangu ya simu ni +255659122404.
Asante.
 
Umesababisha ajali ngapi hadi sasa
 
Nafasi ipo ila tunataka uwe na uzoefu wa kuendesha basi, si chini ya miaka 5.
 
aseee..
kazi hii naipendaga, ukipata chanel nishtue!!
ila kuna kampun kama GSM naona wana magari zaid ya buku, twende nn..!!
 
kwakweli itabidi nipafuatilie hapo GSM ila ninachojua ni kuwa wao wanadeal na pikipiki, lakini endapo kama wanadeal hadi na mabasi itakuwa vyema.
 
daaaah ase hapa ushafeli..
unajua drive ambaye ashapata misukosuko ya ajali ndie mzur maana anajua ajali inasababishwa vip na vip aiepuke
sidhani misukosuko ya kila aina barabarani huleta ajali, maana kama ni misukosuko nimeshapata mno na yamenifanya niwe makini nikiwa naendesha
 
daaaah ase hapa ushafeli..
unajua drive ambaye ashapata misukosuko ya ajali ndie mzur maana anajua ajali inasababishwa vip na vip aiepuke
ninachoona umeficha ukweli kwa kuogopa kukosa ajira, ila jitahd kuwa mkweli tafagali
 
Kwan kusababisha ajar ndo UDEREVA tusaidiane jamani mana hizi Interview unaweza ukakutana na Hilo swali
 
Madereva wako wengi sana mtaani. Maelfu kwa maelfu. Tatizo lao wengi akizi zao zinapata moto sana. Yaani ni pasua kichwa. Ngoja ntakutafuta kama uko serious
 
kwakweli itabidi nipafuatilie hapo GSM ila ninachojua ni kuwa wao wanadeal na pikipiki, lakini endapo kama wanadeal hadi na mabasi itakuwa vyema.
pikipiki mkuu...
weee wapi bhan wana mascania kama buku ivi, umelala wapi mkuuu!!!
embu pitia pale ofis zao zipo apa nanii apa wapi pale napasahu tena
 
Madereva wako wengi sana mtaani. Maelfu kwa maelfu. Tatizo lao wengi akizi zao zinapata moto sana. Yaani ni pasua kichwa. Ngoja ntakutafuta kama uko serious
Kwakweli mkuu Betlehem, mimi niko serious kwenye hili jambo...nitashukuru sana endapo utafanikiwa kunisaidia kwenye hili jambo, na naapa sitokuangusha kwakweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom