mr promise
Senior Member
- Feb 14, 2015
- 142
- 135
sina shaka taaluma yako ina ajira nyingi mno, utafanikiwa tu in very short run!!Wasalaam wana JF.
Nimekuja mbele yenu kujaribu bahati yangu ya kupata ajira tajwa hapo juu, umri wangu miaka 27, jinsi ME, kwa sasa nipo mkoani Mbeya. Nimemaliza internship mwaka jana na nina usajili wa kudumu wa baraza la madaktari Tanganyika. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote Tanzania.
Nawasilisha.
Shukrani mkuusina shaka taaluma yako ina ajira nyingi mno, utafanikiwa tu in very short run!!
Hongera Sana Daktari.Wasalaam wana JF.
Nimekuja mbele yenu kujaribu bahati yangu ya kupata ajira tajwa hapo juu, umri wangu miaka 27, jinsi ME, kwa sasa nipo mkoani Mbeya. Nimemaliza internship mwaka jana na nina usajili wa kudumu wa baraza la madaktari Tanganyika. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote Tanzania.
Nawasilisha.
1. Igogwe MissionWasalaam wana JF,
Nimekuja mbele yenu kujaribu bahati yangu ya kupata ajira tajwa hapo juu, umri wangu miaka 27, jinsi ME, kwa sasa nipo mkoani Mbeya. Nimemaliza internship mwaka jana na nina usajili wa kudumu wa baraza la madaktari Tanganyika. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote Tanzania.
Nawasilisha.
Nashukuru sana kwa ushauri mkuu1. Igogwe Mission
2. Matema beach hospital
3. Ifisi hospital
4. Uhai HC
5. Maranatha hospital
6. Lituhi Mission (Nyasa DC)
7. Liuli hospital (Nyasa DC)
8. Ikonda hospital (Makete)
9. Ilembula hosp (Wanging'ombe)
10.
Peleka barua huko kwa private hospitals kote, nimetaja chache tu;-- Huwezi kosa kuitwa.
Bado zipo smaller private HFs, nyingine zipo rural sana, ambako ni sehemu sahihi sana kwenda kujifunza kazi after internship
All the best

. Be blessed.Noma sana mtu mbadAjira zimekuwa ngumu sana mwaisa....
Sawa asanteNenda Mawenzi kilimanjaro wanahitaj madaktari Wanns kama volunteer, nusu mshahara anza na hiyo
Check na TUME YA KIKRISTO YA HUDUMA ZA JAMII wanaratibu hospital, Vituo vya Afya, na Zahanati za madhehebu ya CCT na TEC mkuumwanangu tupo pamoja, mm mwenyewe nimemaliza intern November ni MD, ila kazi hamna.
kuvolunteer kwenyewe sahz hospital nyingi hawachukui.