Natafuta kazi ya ualimu

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
MIMI ni mhitimu wa shahada ya ELIMU BA EDUCATION mwenye uzoefu wa wa miaka 2 natafuta shule au chuo cha ualimu niweze kufundisha masomo ya Geography na history.

nipo DSM.
 
mwl unataka shule za private sio??
haya andaa CV yako na barua yako peleka pale barbo johanson mapema next wk, pia pelaka na pal almuntazir girls seminary unaweza ukabahatika. but mm kwa mtazamo wangu ni bora kuomba na serikalin tu ni afadhali kuliko private
 
hiyo shule ya BARBO JOHANSON IKO WAPI?
 
jamani msaada basi wapi nitapata hiyo kazi ya ualimu?nina
3.5 GPA

kwa GPA uliyopata hiyo kwa Education labda ujaribu mikoani hapa mjini
utahangaika sana,pole sana! walau ungepata kuanzia GPA ya 4.5.tungekuhaikia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom