NATAFUTA KAZI YA UALIMU

NATAFUTA KAZI YA UALIMU

Habari zenu wana JF, nina degree ya education kutoka chuo cha kenyeta university nairobi Kenya, natafuta kazi ya ualimu. Namudu kufundisha masomo ya arts

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu degree ya ualimu kulikuwa na haja gani kwenda kuisomea Kenya,huoni kwamba umejiongezea complications zisizo za msingi?Au Kuna teknolojia gani au maajabu gani ya maana kwenye kufundisha?

Ni bora upige Kimya kuliko kuongea upuuzi kama huuu,, Mimi kusoma Kenya kimekuuma nini? Complication gan ambazo akili yako inazijua ukisoma nje?et ualimu unaendaje kusoma nje, kwahiyo kuna course zinakutaka usome nje na zingne usome nchini? Jinga moja wewe

Utakula ulimwaga mboga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
√√
1539703798288.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom