Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninatafuta kazi ya uwalimu wa kuanzia ngazi ya secondary hadi cheti (kwa course za biashara)
-Elimu yangu ni ya shahada ya elimu ya biashara (bachelor of commerce with education)
-nina uwezo wa kufundisha book keeping/accountancy na commerce (kwa level ya secondary), accounting & management (kwa level ya certificate)
-nina uzoefu wa kufundisha wa miaka mitatu
-Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote nchini
Mwenye connection yoyote karibu PM
NB:
usiniambie nitume pesa yoyote ili uniunganishie kazi kwa sababu sitatuma.
Kama kuna dalali wa kazi yoyote ambaye yuko serious au mtu yoyote anayeuza nafasi ya kazi njoo PM tutete niko teari kumlipa mshahara wote wa Kwanza mwezi mmoja baada ya kupata na kuanza kazi na si vinginevyo.