Natafuta kazi ya Ualimu

Natafuta kazi ya Ualimu

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Ni mwalimu wa Geography, Civics na Kiswahili. Nataka kufanya kazi shule za privates kwa mkataba mrefu na nipo tayari kuweka vyeti vyangu kama dhamana. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa nchini. Kwa sasa nipo Njombe. Mawasiliano ni 0754004189
 
Vyeti kama Dhamana kivipi
 
Yaani nakupa vyeti original kulinda mkataba
Pole sana yaani unatoa vyeti vyako original kwa mwajiri ili kulinda mkataba?? Hapa ndipo nashindwaga kuelewa kwa mini watu wa taaluma yako mnajiona mupo wanyonge sana.

Lakini natambua ni ugumu wa maisha umefanya utamani kufanya ivo lakini nakushauri. Be simple but not cheap.

Pili watu kama wewe ni hatari sana pindi mnapogundua mlipokosea na kujaribu kurekebisha mlipokosea kwa kujicommit sana kwa kazi
 
Hakuna kitu muhimu katika maisha kama kutambua thamani yako. Brand yourself, na usijioneshe kua uko desperate kupata kazi. Kwa style hiyo unayotaka kutumia hata ukipata hiyo kazi mwajiri anaweza kukusumbua na kukuendesha atakavyo
 
wewe utakuwa mwl wa ajabu sana, pia kama wewe mwl na hujaelimika kutambua thamani ya ualimu wako, vp utakaowafundisha, watajitambua kweli! Unajua thamani ya vyeti vyako au hukuvihangaikia?
Tanzania tuna safari ndefu sana ikiwa waalimu wenyewe ndo ninyi! Napata picha kuwa wewe ni product ya walimu wengi wa namna hiyo Tanzania!
 
Ni mwalimu wa Geography, Civics na Kiswahili. Nataka kufanya kazi shule za privates kwa mkataba mrefu na nipo tayari kuweka vyeti vyangu kama dhamana. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa nchini. Kwa sasa nipo Njombe. Mawasiliano ni 0754004189
Wewe ni mwalimu wa geography,civics na kiswahili???hiyo degree/diploma ya kufundisha masomo yote hayo matatu umeipata chuo gani??
 
Naona nyie ndo hamjielewi...unadhani mi ndo Mara ya kwanza kufanya kazi ya ualimu..? Nimeshafanya kazi huu mwaka wa nne na mkataba wa cheti original nimeshafanya sana. Hii naamua mm kutokana na maslai. Na wewe unayeshangaa chuo ndo umepotea kabisa. Hivi hujui watu wanafanya kazi ya kufundisha wakati huo ni six na four leaver ? So experience ndo inamatter
 
Kumbe unataka ubadili kituo cha kazi???!
 
Ulisoma chuo gani?
mkuu Jielezee vizuri kuepusha maswali mengi ya mashaka yasiyo na ulazima
 
Naona nyie ndo hamjielewi...unadhani mi ndo Mara ya kwanza kufanya kazi ya ualimu..? Nimeshafanya kazi huu mwaka wa nne na mkataba wa cheti original nimeshafanya sana. Hii naamua mm kutokana na maslai. Na wewe unayeshangaa chuo ndo umepotea kabisa. Hivi hujui watu wanafanya kazi ya kufundisha wakati huo ni six na four leaver ? So experience ndo inamatter
Hata Kama ndio mazoea yako ya kuweka dhamana vyeti original sio vizur IPO siku utayakumbuka maneno ya members wa JF siku ukipata boss mnyanyasaji na vyeti vyako Original vipo kwake utaisoma namba
 
Wewe ni mwalimu wa geography,civics na kiswahili???hiyo degree/diploma ya kufundisha masomo yote hayo matatu umeipata chuo gani??
Sio jambo la ajabu, huyu atakua mwl wa Geo na Kiswahili na kumbuka Civics inawezwa kufundishwa na mwl yeyote hasa hawa wa masomo ya sanaa.

Lakini pia mwl alieupgrade kutoka diploma then akaenda degree anaweza kusomea hayo masomo 3. Kwa mfano Diploma alisomea Geo na Kisw lakini alipokwenda kuchukua degree akasomea Hist na geo as minor au kisw, utaona kwamba huyu ana masomo 3

Ukifika kazini inategemea, kuna shule nyingine wanataka mwl afundishe somo moja pekee, nyingine wanataka afundishe 2
 
Naona nyie ndo hamjielewi...unadhani mi ndo Mara ya kwanza kufanya kazi ya ualimu..? Nimeshafanya kazi huu mwaka wa nne na mkataba wa cheti original nimeshafanya sana. Hii naamua mm kutokana na maslai. Na wewe unayeshangaa chuo ndo umepotea kabisa. Hivi hujui watu wanafanya kazi ya kufundisha wakati huo ni six na four leaver ? So experience ndo inamatter
Acha huo mchezo mwalimu vyeti vyako ni muhimu kuliko, Hivi mtu akivipoteza?au upo tayari kwa samahani
 
Sio jambo la ajabu, huyu atakua mwl wa Geo na Kiswahili na kumbuka Civics inawezwa kufundishwa na mwl yeyote hasa hawa wa masomo ya sanaa.

Lakini pia mwl alieupgrade kutoka diploma then akaenda degree anaweza kusomea hayo masomo 3. Kwa mfano Diploma alisomea Geo na Kisw lakini alipokwenda kuchukua degree akasomea Hist na geo as minor au kisw, utaona kwamba huyu ana masomo 3

Ukifika kazini inategemea, kuna shule nyingine wanataka mwl afundishe somo moja pekee, nyingine wanataka afundishe 2
Eti civics inaweza fundishwa na mwalimu yoyote...nani kakudanganya...civics ni somo kama masomo mengine na ili ikalifundishe lazima ukalisomee chuo usidhani walioliweka kwenye mitaala vyuoni ni wajinga...alafu huo utaratibu unaosema mtu diploma kasomea kufundisha labda kiswahili na geography alafu aende degree kusomea history na kiswahili huo utaratibu upo chuo gani...or unachuo ulichokianzisha wewe chenye huo utaratibu...msitake kulipua lipua mambo lazima tufuate utaratibu njaanjaa hizi zisisababishe mtu akajifanya ni mwalimu wa masomo yote alafu wanatokea watu kama wewe ku support uongo
 
Watu wengine kwa ubishi mmeshindikana!.

Mtu alimaliza form 6 combination HGK halafu masomo yote kafaulu. Akaamua kwenda kusoma diploma ya ualimu kwa kawaida masomo ya kufundishia ni mawili, akaamua asomee Hist na Geog, alipomaliza chuo akaajiriwa akafanya kazi miaka yake kadhaa, baadae akaamua ajiendeleze, kufika chuo kikuu akaamua asomee History as a major halafu minor akachukua Kiswahili....hakuna tatizo hapo.

Civics hufundishwa katika baadhi ya vyuo, vyuo vingine wanasomea political science.

Kama ikitokea shuleni pale hakuna mtu aliesomea kozi hizo na lazima somo lifundishwe, mnafanyaje? Civics sio Physics..... Atapewa mwl yeyote mwenye history au hata geography.
 
kabisaa mkuu sina shaka we ni mwalimu hasaa..
 
Back
Top Bottom