Huyo hatakuwa uvccm, angekuwa uvccm tayari angekuwa kwenye orodha ya slowslow kipindi anapita vyuoni kukusanya majina. Serikalini hawaajiri mtu ambae hana kadi ama mtazamo wa kisisiem kisisiem. Kwa wale mnaosaka ajira serikalini jiungeni chama chakavuWeeee chama gani??
Haaaaaahaaaaaa maana dah!!!Huyo hatakuwa uvccm, angekuwa uvccm tayari angekuwa kwenye orodha ya slowslow kipindi anapita vyuoni kukusanya majina. Serikalini hawaajiri mtu ambae hana kadi ama mtazamo wa kisisiem kisisiem. Kwa wale mnaosaka ajira serikalini jiungeni chama chakavu