Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,292
- 55,912
Nakubaliana na wewe,kwa mtu anayetafuta kazi ya ualimu kwa Dar si kuzuri...akajaribu kutembelea wilaya ya mwanga kuna shule nyingi na kutokana na masomo yake atafanikiwa;sema changamoto ni kwenye malipo,ila kwa kuanzia sio mbaya.Mkuu sikuhizi mambo yamebadilika sana,kazi ni mpaka ujuane na watu hivihivi kupata kazi ni bahati sana