Don king shebby
Member
- Apr 4, 2019
- 78
- 52
A
Asante kakaHongera sana kwa kufanya vizuri kwenye masomo yako, nakutakia kila la kheri sana katika utafutaji wako.
Ukisikia kaka sehemu usisite kunijuza ndugu yanguHongera sana kwa kufanya vizuri kwenye masomo yako, nakutakia kila la kheri sana katika utafutaji wako.
.Habari ya wakati huu ndugu zangu wa jamii forum mm ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu ninayetegemea kumaliza wiki hi bsc with education (physics and mathematics) hapa chuo Kikuu cha dar es salaam (udsm) nilikuwa naomba wadau mnipe connection ya kupata sehemu ya kufundisha masomo hayo ni mwalimu mzuri Sana naweza kufundisha level zote hata college as well Kama tutorial assistant naweza pia nimeambatanisha na provisional results zangu hapo chini za semester nne nina average GPA ya 4.4 pia nishapata certificates in both mathematics and physics as best student nimeziweka hapo kwa mawasiliano napatikana kwa namba 0625532429/0678901158/0745139375 nitashukuru mkinisupport asanteni kwa kusoma ujumbe huu.
Mkuu ukiwa na shida,na ukiwa unaficha ficha taarifa zako hufanikiwi; kuna usemi 'mficha uchi...hazai'Punguza taarifa zako hapo hadharani mkuu
Punguza taarifa zako hapo hadharani mkuu
nikweli kaka lakini maelezo yahapo yanajitosheleza kakaMkuu ukiwa na shida,na ukiwa unaficha ficha taarifa zako hufanikiwi; kuna usemi 'mficha uchi...hazai'
Nimekuelewanikweli kaka lakini maelezo yahapo yanajitosheleza kaka
nishafanya hivyo kaka Bado nasubiri subiri kusolve matango mbona sio tatizo siunajuana Siri ya ualimu ni kusoma unakuwa beyond learner haina tatizo sijawahi kufundisha mtoto asielewe hata mtu yeyote for sure sio Kama najisifia nipo vizurPeleka maombi kwa shule ambazo ziko karibu na wewe,utapata kazi....mara nyingi 'interview' zao unakabiziwa darasa na wanaangalia uwezo wako wa kuwasilisha mada pamoja na uwezo wa kumudu darasa.Pia jiandae ku-solve 'impossible qns'
Ukikosa kabisa kwa Dar kama una fedha ya kufanya survey,nenda Mkoa wa kilimanjaro maeneo ya milimani n.k utafanikisha....masomo yako yana soko bado.nishafanya hivyo kaka Bado nasubiri subiri kusolve matango mbona sio tatizo siunajuana Siri ya ualimu ni kusoma unakuwa beyond learner haina tatizo sijawahi kufundisha mtoto asielewe hata mtu yeyote for sure sio Kama najisifia nipo vizur
Ni kweli kaka lakini maisha ya sasa hivi hata Kama unauwezo kiasi gani lazima kuna mtu akushike mkono ndo maana nimekuja kwenye hi platform najua nitaweza kupata connection ndugu yangu hata wewe unaweza kunisaidia nahidi sitakuangusha ndugu yanguUkikosa kabisa kwa Dar kama una fedha ya kufanya survey,nenda Mkoa wa kilimanjaro maeneo ya milimani n.k utafanikisha....masomo yako yana soko bado.
Mkuu sikuhizi mambo yamebadilika sana,kazi ni mpaka ujuane na watu hivihivi kupata kazi ni bahati sanaPeleka maombi kwa shule ambazo ziko karibu na wewe,utapata kazi....mara nyingi 'interview' zao unakabiziwa darasa na wanaangalia uwezo wako wa kuwasilisha mada pamoja na uwezo wa kumudu darasa.Pia jiandae ku-solve 'impossible qns'
asante kakaKila la kheri mkuu