Big Thinking Member Oct 1, 2021 14 16 Oct 22, 2021 #1 Wakuu, naomba mnisaidie atakaesikia kazi ya ualimu kwenye shule za sekondari mwalimu anaitajika. Naomba anisaidie. Nafundisha masomo ya biashara. Book keeping na commerce. Sana mikoa ya kaskazini. Moshi, Arusha na Babati
Wakuu, naomba mnisaidie atakaesikia kazi ya ualimu kwenye shule za sekondari mwalimu anaitajika. Naomba anisaidie. Nafundisha masomo ya biashara. Book keeping na commerce. Sana mikoa ya kaskazini. Moshi, Arusha na Babati
Semahengere JF-Expert Member Nov 29, 2020 1,186 1,955 Oct 22, 2021 #2 Wewe umesoma kweli au unatania? Kuna Mkoa wa Moshi? , Babati?
Big Thinking Member Oct 1, 2021 14 16 Oct 22, 2021 Thread starter #3 Semahengere said: Wewe umesoma kweli au unatania? Kuna Mkoa wa Moshi? , Babati? Click to expand... Hahaahaaaa..Mambo mengi mkuu.. Kilimanjaro, Arusha na Manyara
Semahengere said: Wewe umesoma kweli au unatania? Kuna Mkoa wa Moshi? , Babati? Click to expand... Hahaahaaaa..Mambo mengi mkuu.. Kilimanjaro, Arusha na Manyara
Pain killer JF-Expert Member Aug 15, 2017 14,181 21,321 Oct 22, 2021 #4 Big Thinking said: Wakuu, naomba mnisaidie atakaesikia kazi ya ualimu kwenye shule za sekondari mwalimu anaitajika. Naomba anisaidie. Nafundisha masomo ya biashara. Book keeping na commerce. Sana mikoa ya kaskazini. Moshi, Arusha na Babati Click to expand... Kwa ulivochanganyikiwa hivi ,huko darasani utapaweza kweli ....
Big Thinking said: Wakuu, naomba mnisaidie atakaesikia kazi ya ualimu kwenye shule za sekondari mwalimu anaitajika. Naomba anisaidie. Nafundisha masomo ya biashara. Book keeping na commerce. Sana mikoa ya kaskazini. Moshi, Arusha na Babati Click to expand... Kwa ulivochanganyikiwa hivi ,huko darasani utapaweza kweli ....