Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,405
- 1,845
Wakuu habari mie ni mwalimu, natafuta kazi ya kufundisha shule yeyote ya private / binafsi. Nina shahada ya ualimu masomo ya uchumi na jiographia kutoka Mwenge Catholic university.
Naomba msaada wenu, pia ushauri napokeo
Naomba msaada wenu, pia ushauri napokeo

