Kama umepata kazi hapa Basi, Ila mm pia Nina stationary nataka MTU kufanya KAZI mwenye uzoefu na uaminifu mkubwa.KAZI YA STATIONARY
TO APPLY send your CV and app letter –mitcomputingtz@gmail.com OR via whatsap-0717157640
Ulishapata mkuu?Kama umepata kazi hapa Basi, Ila mm pia Nina stationary nataka MTU kufanya KAZI mwenye uzoefu na uaminifu mkubwa.
Unahitaji mtu?Stationery iko wapi?Ulishapata mkuu?
Nina binti anatafuta kaziUnahitaji mtu?Stationery iko wapi?
ok.SameNina binti anatafuta kazi
NakuombeaNina umri wa miaka 27 ninaishia Dar es salaam maeneo ya African Mbezi Beach ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 7 hivyo ninaouzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo.na kazi ya uwakala wa benk na tigopesa na Mpesa.
Ninaouwezo wa kutumia computer vizuri na kuchapa document kwa haraka niweza kutumia program ya Microsoft office na kuandaa, Card za sherehe mbalimbali ikiwemo Harusi Seandoff, Kitchen party.
Abiya Charles 0656956916
Kama umepata kazi hapa Basi, Ila mm pia Nina stationary nataka MTU kufanya KAZI mwenye uzoefu na uaminifu mkubwa.
Uko wapi? Nicheki kwa 0685510781Nipo hapa