Brilliant reply mtu anamuuliza hapa eti anataka mshahara gani duuhKama kweli mna muhitaji mfuateni pm .mnataka info zote hapa sisi za nini?
Mshahara na sehemu anayoishi sisi hayatuhusu mfuateni pm
NopUmeolewa!?
Nipo Dar es salaam.Unaweza Fanya kazi mkoani? Niko simiyu natafuta mfanya kazi wa steshenari, hebu taja kiwango cha mshahara unaodhani kulipwa tuone kama ntamudu
Amen... AsanteMungu atakujalia utafanikiwa Dada yangu
N/ANaweza kutumia hiyo namba yako ya simu hapo kwenye mambo yetu yale tafadhali?[emoji53][emoji53][emoji53]
Please,naomba niruhusu!
Ulipata kazi?Am still looking for a job.. Mwenye huitaji no. 0625798940
Nilipata, ila bado nahitajiUlipata kazi?