Natafuta kazi ya Stationary

mactal

Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
73
Reaction score
103
Wakuu habari za kwenu nyote
Natafuta kazi ya stationary kwa mkoa wa morogoro/Dodoma
Uzoefu ninao wa zaidi ya miaka 3.
Vigezo vyangu katika kazi:
1. Nafahamu vizuri sana kutumia computer..
2. Nina kasi nzuri sana ya kuchapa
3. Niko na uzoefu pia mkubwa kwa upande wa computer/mobile repair both software na hardware na (printer repair kiwango cha wastani)
4..Nafahamu kwa ufasaha kuandika na kuongea kiswahili/kiingereza.
5.customer care pia naiweza sana..
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
 
Jinsia na umri wako tafadhali. Nauliza hivi kwa nia njema kabisa.
 
Kwanini Morogoro/Dodoma pekee?
 
Wadau bado hamjanifikiria ombi langu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…