MWACHIBILA
Member
- Feb 19, 2013
- 48
- 8
Wewe ni ke au me? Na kwann iwe mikoa ya kusini tu??
Wewe ni ke au me? Na kwann iwe mikoa ya kusini tu??
your not serious,interview inaanza hapo
ulipo,unashindwa hata kuandika SECRETARY,
DAWASA wametoa nafasi 3,ingia kwenye website yaoombi kwenu ,natafuta nafsi ya kufanya kazi kama secretary, iwe ofisi ya serikali au binafsi ,ingewezekana iwe sehemu yoyote katika mikoa ya kusini mwa tanzania Lakni mkoa wowote itakapopatikana nitafanya.naomba taarifa kama utasikia sehemu wanahitaji secretary.JINSIA NI FEMALE .ASANTE
ombi kwenu ,natafuta nafsi ya kufanya kazi kama secretary, iwe ofisi ya serikali au binafsi ,ingewezekana iwe sehemu yoyote katika mikoa ya kusini mwa tanzania Lakni mkoa wowote itakapopatikana nitafanya.naomba taarifa kama utasikia sehemu wanahitaji secretary.JINSIA NI FEMALE .ASANTE