Natafuta kazi ya secretary.

MAANAX

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
36
Reaction score
2
Mimi ni kijana mwenye miaka 20 nimemaliza form four mwaka jana. Naombeni kazi ya secretary Dar. Pia mimi nipo Dar. Nina cheti cha computer na ninajua kuongea kiingereza. Asanteni naamini nitaipata. Mshahara maelewano. Mawasiliano yangu 0756525889.
 
kijana kama unatafuta usianze kuchagua mahali pa kufanyia kazi,kazi na maisha ni popote vinginevyo utabaki dar.unang'aa macho!
 
Sawa ila uwezekano wa mimi kufika mbali utakuwa haupo kwa nauli
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 20 nimemaliza form four mwaka jana. Naombeni kazi ya secretary Dar. Pia mimi nipo Dar. Nina cheti cha computer na ninajua kuongea kiingereza. Asanteni naamini nitaipata. Mshahara maelewano. Mawasiliano yangu 0756525889.

Angalia hapa>>>> Tanzania Jobs
 
mtumainie Mungu..utapata tu...Mungu ni mwema kwa wamchao...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…