natafuta kazi ya secretary

natafuta kazi ya secretary

jack c

Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
18
Reaction score
1
habar wana jamiiforums natafuta kazi popote pale nina certificate ya secretary chuo cha tpsc tabora elimu yangu 4m 4.
 
Nafasi zinatangazwa Mkuu unajaribu kuomba?
 
poa nashukuru sms yako nimeiona naomba unipe anuan ya hapo pccb wangu kupitia namba 0755978116
 
Soma hapa.
endless.jpg
 
  • Thanks
Reactions: KUN
asante my dia lakini tangazo kwangu clion vizur lafasi ya personal secretary nimeona maneno ya chin cyaon
 
habar wana jamiiforums natafuta kazi popote pale nina certificate ya secretary chuo cha tpsc tabora elimu yangu 4m 4.

upo wapi? kama dar ni PM nikuunganishe na mtu, very serious! and urgent!
 
Je uliomba hizo ambazo ziko hapo juu za End less Fame Production na je uli PM huyo aliyekuambia atakuunganisha na mtu?
 
Tunahitaji mfanya kazi kwenye stationary na m-pesa. Lakini biashara ndo imeanza almost mwezi mmoja uliopita so kama upo interested ni Pm uniambie ungependa ulipwe kiasi gani ili tukikaa kama board of directors wa kampuni nitakusitua. Nimekutumia sms kwenye simu yako.
 
habar wana jamiiforums
natafuta kazi popote pale nina certificate ya secretary chuo cha tpsc
tabora elimu yangu 4m 4.

now nipo dar.

Una uwezo wa kuandika kiingereza vizuri kwa errors chache? Speed yako ya Kutype ni maneno mangapi kwa dakika? Kazi ipo ila mshahara wa kuanzia utakuwa wa kawaida ingawa utapanda kutokana na utendaji wako pia utapata nauli ya kila wiki. Kama uko serious ni PM nikupe maelekezo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom