Nina certificate ya secretarial course,nina ujuzi wa ms word,excel,data base na typing.nina uzoefu wa kutosha,niko tayari kufanya kazi kokote tanzania.wadau nisaidieni
Nina certificate ya secretarial course,nina ujuzi wa ms word,excel,data base na typing.nina uzoefu wa kutosha,niko tayari kufanya kazi kokote tanzania.wadau nisaidieni
Tatizo una mawazo mgando sio kosa lako.Ipo siku utakuja andika hujawahiona mpishi wa kiume!Sio kosa lako hunda elimu kuhusu gender division of labour,in short hujahama from copying to Critically analysis of issues,kama huna la kuchangia ni bora ukae kimya.