mpendamungu
Member
- Nov 12, 2014
- 28
- 1
Mimi n msichana nina umri wa miaka 23, nimesoma secretary pia nimeshafanya kazi stationary. Natafuta kaz kwa yeyote anayetafuta secretary tuwasiliane.
Tuma cv, na passport size yako,na application letter kwa: vacancy@etl.co.tz ,
Kama upo tayari nina Stationary pia nahusisha public writter ipo Kwa Mromboo kazi siku 6 kwa wiki nitakulipa laki 1 kwa mwezi.
Umesomea chuo gan
Safi jitaidi uwezi kukosa mdogo angu n pm nkuelekeze kitu
Co lazma uanze na profesion yako tafuta kitu kitakacho kupa conection
ndo natafuta kaz yoyote wala siangalii nilchosomea ili mradi iwe ya halali
nasubirisawa sasa tuwasiliane basi kama upo serious kwa no. 0752128048
Mimi n msichana nina umri wa miaka 23, nimesoma secretary pia nimeshafanya kazi stationary. Natafuta kaz kwa yeyote anayetafuta secretary tuwasiliane.
Mimi natafuta secretary Cum M.C.H.E.P.U.K.O upo tayari? Teh teh teh koh koh
Safi nicheck inboxnipo tayari
nipo tayari
haaah! easly!?