Natafuta kazi ya receptionist kwa mikoa ya tanga au morogoro

Mungu akusaidie upate.

Utakuja kuambiwa utume picha muda si mrefu, ili wakuweke kwenye mizani kama kweli unafaa kuwa front ya office.

Uwe mrembo tu, mwenye tabasamu na mkarimu kwa wageni. Uwe na utaalamu tu wa kutumia computer kidogo na ujue lugha mbili kuu hapa Tz
 
Kisukuma na kiswahili
 
Back
Top Bottom