Natafuta kazi ya pota

Natafuta kazi ya pota

Joined
Dec 16, 2018
Posts
23
Reaction score
11
habari zenu wana jamii forum,mimi ni kijana wa kitanzania,natafuta kazi ya upota katika kampuni za utalii kwani ni kazi ambayo naipenda,kiafya niko vizuri,sina matatizo yoyote,niko fit,natumaini kupata kupitia hapa
napatikana kwa simu namba 0717 123433
 
Safi sana lakini uwe ngangari maana kama ni kupanda mlima kilimanjaro sio mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kazi ya upota ndio hii ya kubebea mizigo watalii?
download.jpeg
 
Mzungu akibanwa sehemu ambayo hakuna choo inabidi ashushe kwenye soft akimaliza atakupa ubebe utaenda kutupa mbele kwenye huduma ya choo,Kawaida hiyo kwenye utafutaji.
aisee,sio poa,hio ndio tuseme ajali safarini
 
Back
Top Bottom