OliverK Member Joined Aug 11, 2023 Posts 42 Reaction score 25 Nov 18, 2023 #1 Hello members Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu mwaka wa kwanza, nahitaji kazi, supermarket, au kuuza duka la nguo, vipodozi nk. Education: DIPLOMA IN PUBLIC ADMINISTRATION LOCATION DAR ES SALAAM Hata kazi ya sales naweza.
Hello members Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuuu mwaka wa kwanza, nahitaji kazi, supermarket, au kuuza duka la nguo, vipodozi nk. Education: DIPLOMA IN PUBLIC ADMINISTRATION LOCATION DAR ES SALAAM Hata kazi ya sales naweza.
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,679 Reaction score 8,215 Nov 18, 2023 #2 Your welcome
Jugado JF-Expert Member Joined Oct 28, 2021 Posts 1,446 Reaction score 3,192 Nov 18, 2023 #3 Ni mwaka wa kwanza kweli? Kuna kazi ila sio part time ni full time mpaka umalize chuo. Jinsia iwe Ke.
Ni mwaka wa kwanza kweli? Kuna kazi ila sio part time ni full time mpaka umalize chuo. Jinsia iwe Ke.
OliverK Member Joined Aug 11, 2023 Posts 42 Reaction score 25 Nov 18, 2023 Thread starter #4 Jugador_2023 said: Ni mwaka wa kwanza kweli? Kuna kazi ila sio part time ni full time mpaka umalize chuo. Jinsia iwe Ke. Click to expand... Ndio mwaka wa kwanza, Kazi gani hiyo? Me ni ke
Jugador_2023 said: Ni mwaka wa kwanza kweli? Kuna kazi ila sio part time ni full time mpaka umalize chuo. Jinsia iwe Ke. Click to expand... Ndio mwaka wa kwanza, Kazi gani hiyo? Me ni ke
OliverK Member Joined Aug 11, 2023 Posts 42 Reaction score 25 Nov 18, 2023 Thread starter #5 TZ-1 said: Your welcome Click to expand... Thank you
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 20,541 Reaction score 44,295 Nov 18, 2023 #6 Utaweza pressure ya kazi huku unasoma bila kuathiri masomo yako au hiyo kazi?? Kama ulujipima unaona huwezi ni bora kuchagua kimoja mkuu!
Utaweza pressure ya kazi huku unasoma bila kuathiri masomo yako au hiyo kazi?? Kama ulujipima unaona huwezi ni bora kuchagua kimoja mkuu!
OliverK Member Joined Aug 11, 2023 Posts 42 Reaction score 25 Nov 18, 2023 Thread starter #7 Vishu Mtata said: Utaweza pressure ya kazi huku unasoma bila kuathiri masomo yako au hiyo kazi?? Kama ulujipima unaona huwezi ni bora kuchagua kimoja mkuu! Click to expand... Naweza ndo maana ninahitaji
Vishu Mtata said: Utaweza pressure ya kazi huku unasoma bila kuathiri masomo yako au hiyo kazi?? Kama ulujipima unaona huwezi ni bora kuchagua kimoja mkuu! Click to expand... Naweza ndo maana ninahitaji
Dignah Member Joined Jan 26, 2022 Posts 70 Reaction score 95 Jan 6, 2024 #8 Jugador_2023 said: Ni mwaka wa kwanza kweli? Kuna kazi ila sio part time ni full time mpaka umalize chuo. Jinsia iwe Ke. Click to expand... mimi nipo tayar ndugu
Jugador_2023 said: Ni mwaka wa kwanza kweli? Kuna kazi ila sio part time ni full time mpaka umalize chuo. Jinsia iwe Ke. Click to expand... mimi nipo tayar ndugu