Natafuta kazi ya operator kwenye mitambo ya kisasa.

Natafuta kazi ya operator kwenye mitambo ya kisasa.

Calamity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
856
Reaction score
47
:A S thumbs_down:Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu na mzoefu katika mitambo ya utibuni maji taka(wastewaterTreatment Plant)and sample daily correction +analysis( e.g) ph,do, Tss c.o.d and sv mwenye chance ilipo naomba anijuze jamani nisaidieni mi niko fiti.
 
Pouwa mtu wangu kuna macampuni yanaohusika na hayo mambo kama diverse and Ecolab ambao wako kwenye makampuni makubwa kama sbl,tbl, bonite pepsi jaribu kuzifuatilia kiukaribu watu kama ninyi ni adimu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom