Natafuta kazi ya medical laboratory technician

Natafuta kazi ya medical laboratory technician

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,443
Reaction score
2,926
Habar zenu wana jamii forum , mm ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi dar es salaam nimejitokeza kwenu km kuna yeyote mwenye taarifa ya kaz ktk sector ya medical laboratory basi aniseidie ,nina diploma in medical laboratory science
Ahsanteni
 
Mbona kazi zipo au ndio watu wanadanganyana kabla ya kusoma kozi fulani
 
Mkuu jaribu kutembelea website za ajira kama Zoom Tanzania, Mkaguzi Blog na Kijiwe cha Wasomu, mimi zimenisaidia sana!
 
Nishatembelea sana hizo website ila sjakuta active post mkuu
 
Habar zenu wana jamii forum , mm ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi dar es salaam nimejitokeza kwenu km kuna yeyote mwenye taarifa ya kaz ktk sector ya medical laboratory basi aniseidie ,nina diploma in medical laboratory science
Ahsanteni
Uko dar sehemu gani
 
Jaribu ku scroll kwenda chini huko kuna uzi wa medical lab anatakiwa singida
 
Back
Top Bottom