Natafuta kazi ya maabara

Natafuta kazi ya maabara

avec vous

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
461
Reaction score
135
Wakuu nina degree ya medical laboratory nimespecialize katika parasitology and entomology.Ambaye anafahamu sehemu nitakapo pata kazi siyo serikalini ila pawe na salary ya kuweza kukufanya mtu uishi hapa mjini.

shukrani
 
Why not Serikalini?
 
Ndugu yangu kwa nchini kwetu hapa TANZANIA hakuna chuo chochote kinachotoa degree ya medical laboratory technology kwa kuwa hakuna vifaa vya kufundishia degree vyuo vyote vikubwa vya afya nchini kama MUHAS na BUGANDO wanaishia diploma tu. nawasiwasi na elimu yako na ndomana hutaki kuomba serikalini kwa sababu unajua hauta chaguliwa ukipeleka CV zako,jaribu fani nyingine hii haikufai kabisaa
 
Mkuu nina wasi wasi na ufuatiliaji wako wa mambo inaonyesha haufahamu hata mambo ya elimu yanaendaje hebu ingia tcu guidance book ujue ni vyuo vingapi vinatoa degree ya meical lab. sciences hapa nchini kwa taarifa yako ni zaidi ya vyuo vitano ,kcmc cuhas,muhas,imtu,st.francis ifakara na kiu japo hawana quality nzuri.
 
Ndugu yangu kwa nchini kwetu hapa TANZANIA hakuna chuo chochote kinachotoa degree ya medical laboratory technology kwa kuwa hakuna vifaa vya kufundishia degree vyuo vyote vikubwa vya afya nchini kama MUHAS na BUGANDO wanaishia diploma tu. nawasiwasi na elimu yako na ndomana hutaki kuomba serikalini kwa sababu unajua hauta chaguliwa ukipeleka CV zako,jaribu fani nyingine hii haikufai kabisaa

mkuu hebu fuatilia kwanza ndio uwe unaandika sio kila kinachokuja kichwani kwako unatype tu , kwa taarifa yako karibu vyuo vyote vikuu vya afya vinatoa degree ya medical.lab sciences
 
Back
Top Bottom