natafuta kazi ya maabara

natafuta kazi ya maabara

mab-v

Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Habali wana jf natafuta kazi ya maabara (medical laboratory) nina uzoefu wa kutosha, nipo dar nitanguliza shukulani. my phon, number 0652-011020. mbalikiwe wana jf.
 
Habali wana jf natafuta kazi ya maabara (medical laboratory) nina uzoefu wa kutosha, nipo dar nitanguliza shukulani. my phon, number 0652-011020. mbalikiwe wana jf.
Is uzoefu wa kutosha qualification na inatolewa na chuo gani? Sema sifa zako za ujuzi wako wa kazi watu wakusaidie,acha kuficha ficha,ndio nyie nyie.
 
mkuu kwani zile zilizotangazwa na wizara ya afya uliomba????
 
Back
Top Bottom