Natafuta kazi ya Maabara

Natafuta kazi ya Maabara

Joined
Apr 20, 2017
Posts
32
Reaction score
15
Nipo Dar nahitaji nafasi hii. Nimesomea Certificate..
Vigezo vyote vinavyotakiwa ninavyo. kwa mwenye kunihitaji tuwasiliane 0765 626 871.... eneo la kazi itapendeza zaidi ikiwa ni hapa hapa Dar
 
Shida zimejaa ila bado unachagua maeneo, Wa Tz shida kweli.
Mungu akusaidie upate kazi/ajira hakika utapata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom