Natafuta kazi ya kuwa legal consultant/ officer

Katika maelezo yako sijaona ukisema kama umepita Law school,kama bado nenda kwanza uwe wakili kamili,ukiwa mjanja uwakili unalipa sana tu.
 
UKo mkoa gani mkuu ??
 
Aisee ungekuwa mtwara chuo kikuu huria open university ungepata wanafunzi wengi mno na ungepata pesa yako nzuri sana kila leo watu wanasaka mateacher wa law
Ok. Hapo ni tatizo kubwa. Ni kweli huko mikoani hakuna walimu watu wa kufundisha masomo ya sheria. Ngoja niwaombee, mtapata tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…