Mungu akujaalie Diva..vp utangazaji hutaki? Just a joke..
mimi ni mwanamke wa miaka 24.natafuta kazi ya kuuza duka la nguo au vipodozi kwa yeyote mwenye kuhitaj,nikifanikiwa nitafanya kazi kwa moyo na uaminifu.nipo dar
hohohohohoho! Diva ucjaribu ku inbox hawa watu, natafta namna ya kukusaidia waifu ana duka la urembo ngoja nimuulze kama nafas bado zipo.Na cv yako, wewe ni mwenyeji wa wapi, una watoto wangapi, unaishi wapi! weka kwa inbox..na rangi yako ya ngozi, urefu, unene, n.k
hohohohohoho! Diva ucjaribu ku inbox hawa watu, natafta namna ya kukusaidia waifu ana duka la urembo ngoja nimuulze kama nafas bado zipo.
Je hiyo ndo kazi unayoweza tu?
hohohohohoho! Diva ucjaribu ku inbox hawa watu, natafta namna ya kukusaidia waifu ana duka la urembo ngoja nimuulze kama nafas bado zipo.
Na cv yako, wewe ni mwenyeji wa wapi, una watoto wangapi, unaishi wapi! weka kwa inbox..na rangi yako ya ngozi, urefu, unene, n.k
Vipi ukiwezeshwa kumiliki duka lako mwenyewe au haujiamini kama unaweza?
Na cv yako, wewe ni mwenyeji wa wapi, una watoto wangapi, unaishi wapi! weka kwa inbox..na rangi yako ya ngozi, urefu, unene, n.k
Huwezi Uza genge?
Najiamin mkuu ila tatizo hapo ni mtaji kama nikiwezeshwa ntashukuru