Natafuta kazi ya kuuza duka!

Jamani mi sio mchaga! Ila ugumu wa life 2 ndo unanifanya nijaribu kuomba kazi yoyote.
 
Mimi nina mashaka kama kweli unataka kazi kwa nini usitafute kazi yoyote ufanye upate pesa mpaka utafute kazi ya kuuza duka? au unataka siku utokomee na fedha za mauzo? coz kuna duka la jirani hapa vijana watatu kwa wakati tofauti wameuza vizuri kabla ya kukabidhi mauzo kwa boss wametoroka mpaka leo jamaa hajui walipo.
 
We mchaga?

Kuuliza ni kutaka kujua kufahamu Kabila lako, asili yako umri wako,jinsia yako na uwezo wa kufanya kwako ni vyema so ni vyema ukajibu mapema Kaka binafsi nina Duka la Jumla mitaa ya Pugu kajiungen ninahitaji mtu wa kumsaidia muuzaji wa duka ie main duties ni kupakia na kutoa mizigo dukan kuwapatia wateja na kuasseble vizuri mizigo stoo.Kufika dukan aka cash office inategemea na uadilifu wako kwanza kwan ni ngumu kumkabidhi mtu cash centre bila kumjua na kumfahamu vyema kama upo serious na kazi tuwasiliane,Mshahara ni maelewano,
 
Mimi ni kijana niliyehtimu kidato cha nne mwaka jana! Natafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya aina yoyote ile! Mshahara 2taelewana. Mawasiliano; email. Crissalex1@live.com. Simu namba. +255719665022.

Kuuliza ni kutaka kujua kufahamu Kabila lako, asili yako umri wako,jinsia yako na uwezo wa kufanya kwako ni vyema so ni vyema ukajibu mapema Kaka binafsi nina Duka la Jumla mitaa ya Pugu kajiungen ninahitaji mtu wa kumsaidia muuzaji wa duka ie main duties ni kupakia na kutoa mizigo dukan kuwapatia wateja na kuasseble vizuri mizigo stoo.Kufika dukan aka cash office inategemea na uadilifu wako kwanza kwan ni ngumu kumkabidhi mtu cash centre bila kumjua na kumfahamu vyema kama upo serious na kazi tuwasiliane,Mshahara ni maelewano,
 
Mimi ni mpare! Ninaumri wa miaka 20. Nimehtimu kidato cha nne. Nikijana muadilifu.
 
Nyinyi ndio wale baada ya miezi michache mna maduka yenu.
Yaani unataka kutoka kimaisha kupitia mgongo wa mwengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom