Natafuta kazi ya kununua (urgent)

Natafuta kazi ya kununua (urgent)

monakule

Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
87
Reaction score
23
MI NI KIJANA WA MIAKA 28, DEGREE HOLDER IN SOCIAL PLANNING AND DEVELOPMENT, KAMA KUNA MTU WA KUNISAIDIA KAZI KWA DILI HUMU JF PLEASE PLSE WRITE ME PRIVATE SMS OR Email me through michaeljohnigogo@yahoo.com
 
Same here kaka, kama kuna mtu please ni_pm na mimi nataka
 
ipo....price tag is USD 25,000

......................kama unapesa ya kununulia kazi. ushauri wangu wa bure ni kuwa jiajiri, fungua biashara. Life si kuajiriwa tu. acha kasumba ya kitumwa
 
Aisee kununua kaz nayo ni kaz bora kuanzish busines na hyo hela ya kununulia kaz
 
MI NI KIJANA WA MIAKA 28, DEGREE HOLDER IN SOCIAL PLANNING AND DEVELOPMENT, KAMA KUNA MTU WA KUNISAIDIA KAZI KWA DILI HUMU JF PLEASE PLSE WRITE ME PRIVATE SMS OR Email me through michaeljohnigogo@yahoo.com
hujiamini wewe, kwanini ununue kazi?
umekataa tamaa? hiyo ni dhambi ni sawa na kuamini hakuna MUNGU
by the way! nimegundua tunatoka jimbo moja la rorya! nimetake note email yako nitakutafuta,ila wewe usinitafute
 
Ukanda na ukabila kisa jina tuuu
 
mh ama akika taifa ili bwana sijui linaelekea wapi kijana ambae angesaidia kutokomeza rushwa kama msomi ndio yupo mstari wa mbele kutoa dah.
 
Hata mimi naitaji kazi ya kununua, I have got a knowledge of supply chain management.
 
Ukishapata hiyo kazi ya kununua utarudishaje hiyo hela uliyotumia kununulia kazi? Kizazi cha nyoka hiki
 
Back
Top Bottom