kuna kazi ya kulisha mifugo, mshahara elfu themanini kwa mwezi - chakula cha mchana unapata shambani huko huko. Shamba lipo mbali na mjini ni km 35 approx, unashauriwa kuhamia huko huko ili kubana matumizi ya nauli. Chakula / Malazi yanapatikana shambani. Uwe flexible maana kazi zinaweza kuangukia Jpili kwa wiki nyingine.