Abtali mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 637
- 432
Mwalimu Makoba Open School inatafuta walimu, tuchangamkie fursa kwa kuwaasiliana nasi mapema.
Nimemaliza chuo (UDSM) mwaka huu. Masomo yangu ya kufundishia ni History na Kiswahili. Pia nina uwezo wa kufundisha General studies na English.
Kwa yeyote mwenye shule, tution centre au chochote kinachohusiana na ufundishaji tuwasiliane kwa: 0653 25 05 66.
Napatikana Dar es Salaam.
Kama una laki 3 ya haraka njoo tuzungumze.Nimemaliza chuo (UDSM) mwaka huu. Masomo yangu ya kufundishia ni History na Kiswahili. Pia nina uwezo wa kufundisha General studies na English.
Kwa yeyote mwenye shule, tution centre au chochote kinachohusiana na ufundishaji tuwasiliane kwa: 0653 25 05 66.
Napatikana Dar es Salaam.
Basi ukipata nione.Ningekuwa na hiyo pesa nisingebandika tangazo la kutafuta kazi humu! Nipe kazi hiyo kama ipo kweli. Mshahara wa kwanza utachukua wote!
walimu kama nyie ni janga!GS isituweke kwenye mjadala kwa sababu mwalimu yeyote anaweza akafundisha kukiwa na uhitaji. Kuhusu English, nimesoma HKL advance. Pia, nimeifundisha vilivyo katika vituo kadhaa vya tuition. Hivyo sina shaka na umahiri wangu katika kulifundisha somo hili!
Walimu gani hao special wa GS??? Dadavua ueleweke mkuu .walimu kama nyie ni janga!
GS inawalimu wake special, kigezo cha HKL hakikufanyi uwezo kuwa mahiri wa English kijana
pambana na masomo yako!
Ni wale waliosoma Political Science Chuoni ndo wanaqualify kufundisha Gs na CivicsWalimu gani hao special wa GS??? Dadavua ueleweke mkuu .
Mkuu tuchikiane pmKama una laki 3 ya haraka njoo tuzungumze.
Umesomea BEd?nami pia English na Kiswahili, kwa ngazi ya primary, secondary , na chuo.
Kama una laki 3 ya haraka njoo tuzungumze.
BAEdUmesomea BEd?
Mimi niliyesoma BAEd au mtoa post, au wote wawili?hebu nicheki pm
Wewe naye ni janga kubwa tu katika elimu! Hivi kwa akili zako unadhani GS haina walimu special kwa somo hilo? Watu waliosoma Political science kama somo la kufundishia unafikiri ni mahususi kwa somo gani?Walimu gani hao special wa GS??? Dadavua ueleweke mkuu .
BAEd na kufundisha chuo wapi na wapi?BAEd
BEd ndo wanafundisha chuo mkuu labda Private lakini sio ajira ya serikalini.Wengi wanafundisha mkuu! Yote yanawezekan ukipata wa KUKUSHIKA MKONO.
Maswali ya usaili wa awali .swali LA 6 katika kiswahili ni lalazimaNimemaliza chuo (UDSM) mwaka huu. Masomo yangu ya kufundishia ni History na Kiswahili. Pia nina uwezo wa kufundisha General studies na English.
Kwa yeyote mwenye shule, tution centre au chochote kinachohusiana na ufundishaji tuwasiliane kwa: 0653 25 05 66.
Napatikana Dar es Salaam.