Natafuta kazi ya kufundisha.

jwhizzy

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
679
389
Wakuu kutokana na hali yangu Kuwa tete naomba tusaidiane. Natafuta kazi ya kufundisha shule yoyote Ile, nimesoma Bachelor of Arts with education. Masomo ya kufundishia ni literature na History.
 
Mkuu tujuzane wapi huko maaana na mm nina uhitaji
Mkuu Ni kuhusle tuu fanya kazi hata Kama unapewa 200000 then utapata experience itakusaidia kupata kazi bora zaidi.

Pia Taasisi nyingi za shule zinataka mtu ujue English vizur kweli hasa kuzungumza na kuandika. So hili la Muhimu. Kazi utapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom