Johnny nalimi
New Member
- Feb 5, 2022
- 3
- 2
Mimi ni mwalimu nimehitimu shahada ya kwanza chuo kikuu cha Jordan(Morogoro) katika masomo ya Geograghy na history. natafuta kazi ya kufundisha shule ya secondary (private) na msingi (english medium) Nina uwezo wa kufundisha masomo hayo kwa ufanisi zaidi.
Mwenye connection naomba anisaidie.
Nipo Daresalaam Mbezi ya Kimara kwa mawasiliano zaidi kuhusu CV na vyeti vyangu wasiliana nami kwenye namba hii 0784486719 na 0752934804.
Asante.
Mwenye connection naomba anisaidie.
Nipo Daresalaam Mbezi ya Kimara kwa mawasiliano zaidi kuhusu CV na vyeti vyangu wasiliana nami kwenye namba hii 0784486719 na 0752934804.
Asante.