Natafuta kazi ya kufundisha math au physics

Natafuta kazi ya kufundisha math au physics

Kakakuona

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
345
Reaction score
201
Habari! Naomba kazi ya kufundisha math au physics.Nina shahada ya computer science,nimeshawahi kufundisha computer application kwenye academy moja hapa dsm kwa muda wa miezi 6. Itakuwa vizuri kama shule itakuwa dsm maana nipo kwnye mchakato wa kuanza PGDE UDSM mwezi wa3. Asante -
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom