Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

Joined
Mar 21, 2018
Posts
35
Reaction score
9
Napatikana kahama Nina bachelor degree, nimwalimu Bora wa kifaransa pia na kingereza. Kama munafahamu shule inayotafuta mwalimu wa kifaransa nipo nambari: 0767429275
Email: habonasalva@gmail.com.

Nina experience yakutosha. Naweza kufundisha any level of secondary hata chuo kikuu kwa lugha ya kifaransa
 
Napatikana kahama Nina license degree. Ni mwalimu mzuli wa kifaransa na kingereza. Ninatafuta ajila kwenye shule zinazo fundisha kifaransa.

Napatikana nambari 0767429275
E-mail: habonasalva@gmail.com.

Nina experience ya 6years. Primary, secondary, Hadi chuo
 
unatafuta ajira au ajila? kwanini usiandike ombi lako la kazi kwa kifaransa, sasa sisi wafaransa tutakuaminije?
 
Napatikana kahama Nina license degree. Ni mwalimu mzuli wa kifaransa na kingereza. Ninatafuta ajila kwenye shule zinazo fundisha kifaransa.

Napatikana nambari 0767429275
E-mail: habonasalva@gmail.com.

Nina experience ya 6years. Primary, secondary, Hadi chuo
Kwanini umeacha kufundisha huko mkuu..!

Njoo Arusha tufungue kijiwe utakula vichwa vya kutosha..
 
ecrile votre message en francais
Merci Mr marwa.

Suivant une information donnée, je prends faveur de vous communiquer le long de la prise en conscience de Mon état de la francophonie.

Suis un bon professeur de français à n'importe quelle classe de primaires
et secondaires , que l'univerisité en soit.
 
Napatikana kahama Nina license degree. Ni mwalimu mzuli wa kifaransa na kingereza. Ninatafuta ajila kwenye shule zinazo fundisha kifaransa.

Napatikana nambari 0767429275
E-mail: habonasalva@gmail.com.

Nina experience ya 6years. Primary, secondary, Hadi chuo
Hìi hatari mwalimu ambaye hujui hata tofauti ya r na l.kweli kazi ipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom